Nilienda kutembelea Beach maarufu huku California inayoitwa Manhattan Beach🌴. Ukitazama video hii utaweza kuona jinsi mazingira yalivyo na shughuli ambazo watu hufanya wakiwa maeneo hayo.

Pia nakuomba usubscribe ili usimiss video mpya nitakazokua nikipost. Asante kwa kutazama, Nakupenda sana!

My previous video;

🔸FOLLOW ME ON;
INSTAGRAM: https://www.instagram.com/jacchalz
TikTok: https://www.tiktok.com/@jackchalz?_t=8aAkPhjhOMV&_r=1
My Other Channel: https://www.youtube.com/channel/UCWqIfo8-Ztk-9LY0z9n-F5w

#jackwausa #california #manhattanbeach

31 Comments

  1. Nachokupendea ww ni mnyamwezi sana yaani unapoona pisi kali lazima upite nao ata kma ni salamu flesh 😁

  2. Tembelea pia sehemu za kazi na ajira mbalimbali ili watu waangalie na kujipanga zaidi kuja kutafuta ajira huko ughaibuni na jinsi gani wanaweza kupata nyumba za kupanga.

  3. Ukiwa uko una zungumza nawazungu wambie abali ya Africa Tanzania tena na burundi😂🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮💓🇹🇿💖

Write A Comment