Nilienda kutembelea Beach maarufu huku California inayoitwa Manhattan Beach๐ŸŒด. Ukitazama video hii utaweza kuona jinsi mazingira yalivyo na shughuli ambazo watu hufanya wakiwa maeneo hayo.

Pia nakuomba usubscribe ili usimiss video mpya nitakazokua nikipost. Asante kwa kutazama, Nakupenda sana!

My previous video;

๐Ÿ”ธFOLLOW ME ON;
INSTAGRAM: https://www.instagram.com/jacchalz
TikTok: https://www.tiktok.com/@jackchalz?_t=8aAkPhjhOMV&_r=1
My Other Channel: https://www.youtube.com/channel/UCWqIfo8-Ztk-9LY0z9n-F5w

#jackwausa #california #manhattanbeach

31 Comments

  1. Nachokupendea ww ni mnyamwezi sana yaani unapoona pisi kali lazima upite nao ata kma ni salamu flesh ๐Ÿ˜

  2. Tembelea pia sehemu za kazi na ajira mbalimbali ili watu waangalie na kujipanga zaidi kuja kutafuta ajira huko ughaibuni na jinsi gani wanaweza kupata nyumba za kupanga.

  3. Ukiwa uko una zungumza nawazungu wambie abali ya Africa Tanzania tena na burundi๐Ÿ˜‚๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ’“๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ’–

Write A Comment