Nilienda kutembelea mtaa maarufu huku California uitwao Downtown Manhattan Beach๐ŸŒด. Ukitazama video hii utaweza kuona jinsi mazingira yalivyo na shughuli ambazo watu hufanya wakiwa maeneo hayo.

Pia nakuomba usubscribe ili usimiss video mpya nitakazokua nikipost. Asante kwa kutazama, Nakupenda sana!

My previous video;

๐Ÿ”ธFOLLOW ME ON;
INSTAGRAM: https://www.instagram.com/jacchalz
TikTok: https://www.tiktok.com/@jackchalz?_t=8aAkPhjhOMV&_r=1
My Other Channel: https://www.youtube.com/channel/UCWqIfo8-Ztk-9LY0z9n-F5w

#jackwausa #california #manhattanbeach

36 Comments

  1. nilichokigundua hawa wazungu wakiwa kwao hata sehemu za karibu na fukwe huwa wanavaa stara lkn wakija kwetu huku wanatembea na vi bikini kila kona, haswa huku kwetu zanzaibar sehemu za beach kama Nungwi Kiwengwa, au stone town, wamekuwa wakitembea uchi kuliko kwao

  2. Mimi ningefurahi sana.kama.ungekuja africa ukaitangaza Afrika katika dunia. Kuliko kwenye hayo mataifa yasiomtambua mungu itangaze afrika na nchi yako mungu ibariki afrika

  3. Aiseeee the only few things they are thought is about poverty and not richness(wealth) this is very bad, OOOhhh my God

  4. Yaan kusemakwel nimeshatembea Manhattan us ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nashukurusana Mr Jack Ila Kama wale watoto wadogo ulokutana nao maraya kwanza wanakfaham broo ๐ŸŽ‰๐ŸŽ‰๐ŸŽ‰๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜…

  5. safi sana ila ungeku wana.tusa idiya sisi wa congolaise kusema ki swahili ju ss atujuwi english

Write A Comment